Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kwamujibu wa ripoti ya cheneli ya habari ya Al-mayadini: wananchi hao wameomba viongozi wa nchi yao kuwapa muda wa kujirekibisha na makosa walioyatenda yakushiriki katika vita ya kufanya fujo na ghasia nchini Syria nakuahidi kuwa kamwe hawatafanya suala lolote la kuaribu amani ya nchi hiyo.
Kuangamia kwa kikundi cha wapiganaji wakutoka Morocco ndio kumepelekea maamuzi ya kurudi nchini kwao, nao waliongeza kusema kuwa: tuko tayari kufungwa kuliko kubaki nchini Syria.
Serikali ya Morocco, amewatia mbaloni wapiganaji wote walioshiriki vita ya Syria nakuwahukumu kifungo cha miaka mitatu jela nchini humo.Rejea: irna
24 Mei 2014 - 19:26
Msimbo wa Habari: 611032
Wamorocco walioshiriki katika vita ya Syria wamerudi nchini kwao, nakuiomba serekali yao kuwasamehe kwa maamuzi yao batili, pia nakuomba waendelee na maisha yao kawaida yakushirikiana na jamii yao